UtamaduniKenyaKumpamba bwanaharusi kwenye harusi za waswahili03:39This browser does not support the video element.UtamaduniKenyaFathiya Omar28.07.202328 Julai 2023Umewadia msimu mwengine wa harusi za waswahili katika mji wa Mombasa nchini Kenya, katika video hii tunakuonesha namna ambavyo bwanaharusi anapambwa kwa kutumia mitindo mbalimbali, mingi kutoka ulimwengu wa kiarabu.Nakili kiunganishiMatangazo