1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kuna haja kuweka akiba ili kufanya harusi ya kifahari?

03:17

This browser does not support the video element.

20 Novemba 2019

Kwa wachumba wengi ndoto yao hukamilika wanapofanya harusi kubwa au ya kifahari. Lakini kwa wengine ni ndoto isiyotimia. Tunakutana na baadhi ya wanandoa nchini Afrika Kusini ambao wameweka akiba kutimiza ndoto yao ya kufanya harusi ya kifahari na wengine ambao walishauri familia zao kufanya tu harusi ndogo ya gharama ya chini kifedha wanayoweza kumudu.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW