Uasi wa jeshi binafsi linaloiunga mkono Urusi katika vita vya Ukraine ndio unaoangaliwa sasa. Kundi la Wagner linafanya kazi barani Afrika pia. Je, mgogoro kati ya mkuu wa Wagner Yevgeny Prigozhin na kiongozi wa Urusi Vladimir Putin unaweza kusambaa hadi barani Afrika?