1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SanaaAfrika

Kundi la wasichana na sanaa ya uoni

05:55

This browser does not support the video element.

9 Juni 2023

Hii ni sanaa ya kufikirika kwa kutumia picha halisia na zile za kubuni na rangi. Kundi hili linatumia sanaa hiyo ngumu kufikisha changamoto zilizo kwenye jamii yao. Mwanahabari Chipukizi Hadija Halifa amewatembelea katika sehemu yao ya kuandaa kazi zao jijini Dar es Salaam.

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Picha: Hawa Bihoga/DWPicha: Hawa Bihoga/DW

Msichana Jasiri

Kipindi hiki kinakupa fursa ya kusikia ujasiri wa msichana na mchango mkubwa anaoufanya katika jamii. Msichana Jasiri ni muwazi, ana upendo na yuko tayari kujitoa kuwahudumia wengine. Ni shujaa!