Kupanda kwa bei ya vyakula nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
30 Aprili 2008Matangazo
Viongozi wa nchi hiyo wanasema hali ya kupanda kwa bei ya vyakula inawapa wasiwasi mkubwa.Mji mkuu kinshasa unaagiza takriban asilimia 70 ya vyakula kutoka nje.
Taarifa kamili na mwandishi wetu wa Kinshasa Saleh Mwanamilongo