Kupanda na kushuka kwa taifa ndani ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika
7 Desemba 2011![Ramani ya Tanzania kama inavyoonekana sasa, ikijumuisha Tanganyika na Zanzibar.](https://static.dw.com/image/15436807_800.webp)
Matangazo
Katika mahojiano haya, mchambuzi wa masuala ya jamii na siasa, Gwappo Mwakatobe, anazungumzia namna mjengeko wa kijamii na kisiasa ulivyopanda na kushuka ndani ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.
Mahojiano: Amina Aboubakar/Gwappo Mwakatobe
Mhariri: Othman Miraji