SiasaKura zilizoharibika zaibua maswali Kenya11.08.201711 Agosti 2017Ujumbe wa Umoja wa Afrika unatiwa shaka na idadi kubwa ya kura ambazo ziliharibika. Kinacholaumiwa ni ukosefu wa elimu ya kutosha kwa wapigakura ambao hawakufahamu namna ya kutumia karatasi la kura.Nakili kiunganishiPicha: DW/S. KhamisMatangazoJ2.11.08.2017 Spoilt ballots - MP3-StereoThis browser does not support the audio element.