MichezoTanzaniaKurejea kwa mchezo wa ndondi Zanzibar03:54This browser does not support the video element.MichezoTanzania30.08.202330 Agosti 2023Baada ya Nusu karne kufungiwa kwa mchezo wa masumbwi zanzibar, mchezo huo sasa umeruhusiwa kuchezwa tena visiwani humo huku baadhi ya mabondia vijana wakitakiwa kutumia fursa hiyo kwa manufaa na kuibua vipaji na ajira zaidi. Nakili kiunganishiMatangazo