Kazi ya kuchomelea vyuma mara nyingi inachukuliwa kuwa kazi ya wanaume. Lakini katika eneo la Busoga mashariki mwa Uganda, moja ya mikoa inayokabiliwa na mimba za utotoni baadhi ya viongozi wameamua kuanzisha mpango wa kuwafundisha wasichana kazi hii kama anavyoripoti Ibrahim Swaibu.