JamiiKutana na Jane Limwata, kijana mhamasishaji04:10This browser does not support the video element.Jamii31.10.202231 Oktoba 2022Yeye ni kati ya kina dada wachache ambao hujitolea kuwa wanaharakati kwa lengo la kuhamasisha umma. Je Jane Limwata anatekeleza majukumu yake vipi na kukabiliana na changamoto dhidi yake? Hadija Halifa anayatafutia majibu kwenye #MsichanaJasiriNakili kiunganishiMatangazo