JamiiKutana na Mjasiriamali anayebadili maisha03:35This browser does not support the video element.Jamii15.08.201715 Agosti 2017Marie Konaté ni mjasiriliamali mwenye lengo. Hanunui tu asilimia 100 bidhaa za ndani ya nchi yake bali pia anahakikisha asilimia 50 ya wafanyakazi wake ni wanawake. Anauza uji wa watoto na bidhaa nyingine za vyakula.Nakili kiunganishiMatangazo