Yeye na wanafunzi wenzake wanakusanya misaada kutoka kwa wanafunzi na wafanyakazi kwa ajili ya wafungwa waliopo magerezani. Ni mwanafunzi anaesomea sheria anaeamini pia wafungwa wanahitaji mahitaji ya lazima pamoja na usaidizi wa sheria. Kurunzi inamulika juhudi zake.