1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutana na nahodha wa kwanza wa kike wa meli za kivita Kenya

03:33

This browser does not support the video element.

28 Oktoba 2021

Faith Mwagandi ameweka historia kuwa mwanamke wa kwanza nchini Kenya kuendesha meli ya kivita. Alizaliwa katika dini ya kihafidhina pwani ya Kenya, lakini alipambana na dhana pingamizi dhidi ya wanawake na sasa analinda pwani za nchi yake.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW