JamiiKutoa kwa wasiokuwa na uwezo wakati wa Ramadhan02:08This browser does not support the video element.JamiiSaumu Mwasimba04.04.20234 Aprili 2023Wakati huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kumekuwa na shughuli chungumzima katika mataifa ambayo yanaishi katika utamaduni wa kiislam.Kuanzia watu binafsi hadi viongozi wa kisiasa wamekuwa wakitoa misaada kwa watu wenye mahitaji. Nakili kiunganishiMatangazo