TeknolojiaUgandaKuvunja vizuizi: Kompyuta ndogo za Uganda03:37This browser does not support the video element.TeknolojiaUganda15.11.202315 Novemba 2023Ni ndogo, nyepesi na zinaweza kuendana na kompyuta ya wastani. Mhandisi wa programu za kompyuta wa Uganda Ivan Karugaba anatufahamisha jinsi alivyounda mfano wake wa kompyuta ndogo ili kurahishisha upatikanaji zaidi wa teknolojia.Nakili kiunganishiMatangazo