1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwaya inapotumika kufundisha Kiswahili

Mohammed Khelef29 Agosti 2014

Wanafunzi wa chuo kikuu kusini mwa Ujerumani wamegundua njia ya kipekee ya kujifunza lugha na utamaduni wa Kiswahili kwa kukusanyika kuimba kwaya na wengi wanasema imewasaidia kuitambua zaidi Afrika.

Helena na Freddie wakizungumza na safu ya Kiswahili Kina Wenyewe.
Helena na Freddie wakizungumza na safu ya Kiswahili Kina Wenyewe.Picha: Mohammed Khelef

Katika sehemu hii ya mfululizo wa makala za Kiswahili Kina Wenyewe, Mohammed Khelef anazungumza na kikundi cha kwaya ya Kiswahili kusini mwa Ujerumani juu ya uzoefu wao katika kutumia burudani kama lugha ya kujifunza lugha.

Kusikiliza makala nzima, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW