JamiiLatifa Mohammed mwanaharakati wasichana05:18This browser does not support the video element.Jamii04.06.20214 Juni 2021Ameona kuna haja ya kutoa muda wakekulifikia kundi la wanawake kuwawezesha kielimu na mawazo ili kuwakomboa kiuchumi kupitia taasisi yake. Msichana jasiri wiki hii ni Latifa Mohammed ambaye amezungumza na Hadija Halifa @miss_hadijahalifa.Nakili kiunganishiMatangazo