Leo ni siku ya kupambana na kuenea kwa majangwa
17 Juni 2011Matangazo
Kaskazini mashariki mwa Kenya, ambapo ni eneo mojawapo lililo kame na lenye joto jingi, siku hii haiadhimishwi, ingawa pamekuwa na jitihada zinazoambatana na kampeni hii, kama anavyosema mkuu wa mkoa wa eneo hilo, Ole Serian, katika mahojiano haya na Maryam Dodo Abdalla.
Mahaojiano: Maryam Abdalla/Ole Serian
Mhariri: Othman Miraji