1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Lifahamu vazi maarufu la Abaya

02:47

This browser does not support the video element.

22 Juni 2021

Abaya ni vazi maarufu katika jamii ya Waislamu na limekuwa biashara na muundo wa sanaa. Mbunifu wa mitindo katika jiji la Kano nchini Nigeria Kwa Rumaisa Rabiu Dada, ametumia wakati wake kukuza mtindo wake mwenyewe na kuwafundisha wengine katika ufundi huo wa kushona Abaya. #vijanamubashara

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW