1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

LIMA: Ndege ya abiria imeanguka msituni Peru

25 Agosti 2005

Inaaminiwa kuwa hadi watu 40 wamefariki baada ya ndege ya shirika la Tans la Peru,kuangukia msituni.Ndege hiyo aina ya Boeing 737 ilipata ajali,baada ya rubani kujaribu kutua kwa dharura wakati wa mvua ya mawe.Zaidi ya watu 50 wamenusurika katika ajali hiyo.Ndege hiyo ilitokea Lima,mji mkuu wa Peru na ilikuwa ikielekea Pucallpa.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW