1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

London: Mkutano juu ya Palestina

1 Machi 2005

Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani bwana Yoshka Fischer ambaye pia anahudhuria mkutano huo amewahakikishia watu wa Palestina msaada wa Ujerumani katika ujenzi wa taifa lao. Hatahivyo bwana Fischer amesisitiza ulazima wa kuwapo kwa uwazi katika matumizi ya misaada itakayotolewa.