1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

LONDON;Fedha zachangishwa kwa ajili ya Niger

2 Agosti 2005

Mashirika makubwa ya misaada nchini Uingereza yanaanzisha kampeni ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwasaidia watu wa Niger wanaokabiliwa na baa la njaa.

Maalfu ya watoto wamo hatarini kufa nchini humo ikiwa misaada ya chakula itachelewa kuwafikia.

Hali hiyo mbaya imesababishwa na ukame pamoja na balaa la nzige.

Vyombo vya habari, ikiwa pamoja na vituo vya radio na televisheni vitashiriki katika kampeni hiyo.

Fedha zitakazopatikana zitatumika katika kununulia chakula mbegu na malisho kwa ajili ya mifugo.

.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW