1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

LONDON:kisa kingine cha maradhi ya wanyama charipotiwa Uingereza

7 Agosti 2007

Daktari Mkuu wa mifugo nchini Uingereza amesema kuwa kisa kingine cha maradhi ya mdomo na miguu kwa wanyama kimeripotiwa huko kusini mwa Uingereza.

Eneo hilo ndiko kulikoripotiwa kisa cha kwanza cha maradhi hayo wiki iliyopita.

Wakati huo huo Umoja wa Ulaya umetangaza kupiga marufuku uingizaji wa nyama, maziwa na wanyama kutoka Uingereza

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW