1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

LUANDA: Rais wa Luanda kuzuru Urusi

25 Oktoba 2006

Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos, ataitembelea Urusi wiki ijayo kukutana na rais Vladamir Putin.

Rais Santos atakuwa mjini Moscow kati ya tarehe 30 mwezi huu na terehe moja mwezi ujao kufuatia mualiko wa rais Putin. Ziara yake inalenga kuboresha mahusiano kati ya Angola na Urusi.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW