Lumumba akizungumzia kimya cha AU juu ya Libya
1 Aprili 2011Matangazo
Rais wa Rwanda Paul Kagame ameunga mkono mashambulio hayo wakati rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ,Yoweri Museveni wa Uganda wakipinga hatua hiyo.Je wachambuzi wa masuala ya kisiasa barani Afrika wanautazama vipi msimamo huo wa viongozi wa Afrika.Patrick Lumumba ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa na pia mkuu wa tume ya kupambana na rushwa nchini Kenya anazungumzia suala hilo katika mahojiano na Saumu Mwasimba.