1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

LUXEMBOURG: Kansela wa Ujerumani atoa mwito

3 Juni 2005

Kansela wa Ujerumani bwana Gehard Schröder amezitaka nchi za Umoja wa Ulaya ziendelee kuidhinisha katiba mpya ya Umoja huo.

Bwana Schröder amesema hayo kwenye mutano wake na waziri mkuu wa Luxembourg bwana Jean- Claude Juncker, ambaye ni rais wa sasa wa baraza la Umoja wa Ulaya.

.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW