M23 "Hatuondoki Goma kwa Shinikizo"
26 Novemba 2012Matangazo
Mwandishi wa DW, John Kanyunyu kutoka Goma alizungumza na Mwenyekiti wa kundi hilo la waasi, Askofu Jean-Marie Runiga, baada ya mkutano wake na Rais Yoweri Museveni na Rais Joseph Kabila uliofanyika Jumamosi iliyopita mjini Kampala.
Mwandishi: John Kanyunyu
Mhariri: Mohammed Khelef