1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maabara mpya Uganda kudhibiti maambukizi

03:20

This browser does not support the video element.

Hawa Bihoga
15 Agosti 2022

Uganda imeanzisha maabara kubwa ya kisasa katika kanda ili kutafiti na kubaini vimelea hatari kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu. Imejipanga kuhakikisha inaleta usalama wa afya ya binadamu dhidi ya maambukizi kwa ukanda mzima.