1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maadhimisho ya vita vya kwanza vya dunia Tanzania

02:23

This browser does not support the video element.

12 Novemba 2018

Nchi za Afrika pia zilipoteza wanajeshi wake katikavita vya kwanza vya dunia waliopigana pamoja na wanajeshi wa wakoloni wao. Tanzania wakati huo ikijulikana kama Tanganyika ni miongoni mwa nchi zilizoathirika na vita vikuu vya dunia, maelfu ya wanajeshi kutoka Uingereza na Ujerumani walizikwa katika ardhi ya taifa hilo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW