1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maafisa wa serikali ya Kenya wanaowania viti vya kisiasa wajiuzulu

05:42

This browser does not support the video element.

9 Februari 2022

Maafisa wa serikali ya Kenya wanaotaka kuwania nyadhifa za kisiasa kwenye uchaguzi mkuu wa Agosti tisa, sharti wajiuzulu serikalini. Tayari mawaziri kadhaa na makatibu watendaji wameshajiuzulu. John Juma amezungumza na Dr. Alutalala Mukhwana, wakili ambaye pia ni mchambuzi wa sheria, siasa na utawala. Je uamuzi huo utasaidia kukuza haki na usawa? Dr. Alutalala aanza kwa kutoa mtizamo wake.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW