1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maandalizi ya Iddi ul Fitr yapamba moto

01:14

This browser does not support the video element.

14 Juni 2018

Katika kuelekea siku kuu ya eid el fitry nchini Tanzania pirika pirika za maandalizi zimepamba moto katika maeneo mbali mbali ya masoko. Watu ni wengi kweli katika jiji la Dar es Salaam wengi wakishughulika kutafuta nguo na bidhaa za vyakula.