Serikali mbalimbali zinawahimiza raia wake kupata chanjo ya ziada ili kuzuia ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona aina ya omicron. Mjini Munich maandalizi ya krismasi yanaendelea lakini sio kwa shangwe kama ilivyokuwa kabla ya janga la corona. #Kurunzi