Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania chadema leo kimefanya maandamano mkoa wa dar es laam yenye ujumbe wa kutaka mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, kupunguza gharama za maisha na kushinikiza kuwepo kwa katiba mpya.
Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.