1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maandamano Congo yasababisha mauaji ya Watu sita

01:01

This browser does not support the video element.

Caro Robi
22 Januari 2018

Watu sita wameuawa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika maandamano ya kumshinikiza Rais Joseph Kabila kuondoka madarakani. Maandamano hayo yaliyoandaliwa na Kanisa Katoliki Congo yaliyofanyika Jumapili ni ya pili kumtaka Rais Kabila mwenye umri wa miaka 46 kuachia madaraka baada ya kuiongoza Congo kwa miaka 17.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW