1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maandamano ya kupinga marufuku ya Hijab Ufaransa

15 Februari 2004
PARIS: Katika orodha ya miji ya Kifaransa watu kwa maelfu walifanya maandamano kupinga ile sheria ya kupiga marufuku mtandio wa wanawake wa Kiislamu, Hijab. Katika maandamano makubwa kabisa yaliyofanyika Paris na Lyon wafanya maandamano wengi wakiwa vijana walidai katika mabiramu kuweko haki sawa kwa wote kuhudhuria shule.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW