1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mabalozi wa Umoja wa Ulaya na Uingereza ziarani Kigoma

04:15

This browser does not support the video element.

3 Juni 2021

Mabalozi kutoka nchi 6 za umoja wa Ulaya na Uingereza wamefanya ziara ya siku nne mjini KIgoma,Tanzania na wamekutana na wakimbizi wa Burundi na Congo wanaoishi kwenye kambi ya Nyarugusu.