1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mabingwa wa Tanzania Yanga kucheza na Augsburg ya Ujerumani

20 Julai 2024

Mabingwa wa ligi kuu kandanda ya Tanzania, Yanga wanashuka dimbani hii leo katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Augsburg inayoshiriki ligi kuu Kandanda ya Ujerumani Bundesliga

 FC Augsburg
Timu ya FC Augsburg itateremka dimbani leo katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Yanga ya Tanzania huko Afrika KusiniPicha: Sebastian Widmann/Getty Images

Mabingwa wa ligi kuu kandanda ya Tanzania, Yanga wanashuka dimbani hii leo katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Augsburg inayoshiriki ligi kuu Kandanda ya Ujerumani Bundesliga.

Mechi hiyo itachezwa katika dimba la Mbombela, mjini Mpumalanga majira ya saa kumi jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki.

Soma zaidi. Azam yathibitisha kujiengua kwa Kagame Cup

Yanga na Augsburg zimealikwa kushiriki michuano ya kirafiki ya kombe la Mpumalanga, Timu zingine zinazoshiriki michuano hiyo ya kirafiki ni Ts Galaxy ya Afrika ya Kusini na Mbabane Swallow FC ya Eswatini.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW