Mabishano wa Uandikishaji wa wapiga kura visiwani Zanzibar
21 Julai 2009Matangazo
Katibu mkuu wa Chama cha CUF, Seif Sharif Hamad, katika mahojiano na mwandishi wetu, amesema vikwazo wanavowekewa baadhi ya watu kupatiwa vitambulisho vya ukaazi ili waweze kujiandikisha kuwa wapiga vinaweza kusababisha vurugu baadaye. Seif Sharif Hamad alimwambia hivi mwandishi wetu Salma Said.