JamiiMaboma ya Wamasai yachomwa Tanzania15.08.201715 Agosti 2017Familia zaidi ya 100 za jamii ya kabila la Wamasai huko Loliondo hazina mahala pa kuishi baada ya maboma yao kuchomwa moto na askari wa wanyamapori kutoka hifadhi za Serengeti na Ngorongoro nchini humo. Nakili kiunganishiPicha: DW/C.Ngereza.MatangazoRIPOTI YA MABOMA KUCHOMWA LOLIONDO - MP3-StereoThis browser does not support the audio element.