1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mabula: Maisha ya wanangu ni magumu

16 Machi 2015

Dotto Mohamed mwenye umri wa miaka sita na Shija Mohamed mwenye umri wa miaka minne ni walemavu wa ngozi miongoni mwa watoto sita katika familia ya Mohamed Mabula.

Symbolbild Albinos in Afrika
Picha: Tony Karumba/AFP/Getty Images

Suala la walemavu wa ngozi Tanzania linaendelea kugonga vichwa vya habari. Katika mfululizo wetu wa ripoti kuhusu walemavu wa ngozi leo tuko mjini Shinyanga, ambako mwandishi wetu wa huko Veronica Natalis ameitembelea familia ya Mohamed Mabula yenye watoto wawili walemavu wa ngozi katika eneo la Ndembezi Idara ya Maji.

Kwa kusikiliza ripoti hii bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Veronica Natalis

Mhariri: Saumu Yusuf

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW