1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Machafuko Kampala baada ya wanasiasa kukamatwa

20 Agosti 2018

Ghasia na vurugu zimeendelea kwa siku ya nne mfululizo mji mkuu wa Uganda huku waandamanaji wakipinga hatua ya serikali kuendelea kuwashiklia wabunge wawili ambao inasemekana hali yao ya afya inazidi kudorora.

Maandamano Kampala
Picha: picture-alliance/AP Photo/R. Kabuubi

J3.20.08.2018 Uganda Updates - MP3-Stereo

This browser does not support the audio element.

Licha ya rais wa Uganda Yoweri Museveni kusisitiza kuwa mbunge na msanii Bobi Wine yuko katika hali nzuri, inaelekea wandamanaji hawaiamini kauli yake. Hali hiyo imeathiri pia  shughuli za biashara, ikiwa ni pamoja na polisi kuagiza wafanyabiashara katikati mwa mji kufunga biashara zao. 

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW