MichezoMadagascar yatumai kuweka historia zaidi katika AFCON01:38This browser does not support the video element.MichezoJohn Juma21.06.201921 Juni 2019Baada ya kuweka historia kwa kufuzu kwa mara ya kwanza katika AFCON, Madagascar wanatumaini kuweka historia zaidi kwa kushinda michuano yao nchini Misri. Nakili kiunganishiMatangazo