Madaktari na Wauguzi wagoma nchini Burundi09.12.20089 Desemba 2008Madaktari na wauguzi nchini Burundi wamegoma kufanyakazi kwa muda wa wiki ya tatu sasa.Nakili kiunganishiMatangazo Sekione Kitojo alizungumza na Dr. Kasai wa hospitali kuu mjini Bujumbura, ambaye alitaka kujua nini madai yao katika mgomo huo.