Serikali ya Tanzania itawapeleka madaktari bingwa wapatao 200 katika hospitali za mikoa ili kukabiliana na upungufu wa watalaamu hao. Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania, Obadia Nyongola, azungumzia uamuzi huo.
Matangazo
M M T/ J1 11.01.2017 Tanzania Gesundheitssektor - MP3-Stereo