1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MADAWA YA KULEVYA YAZUILIWA GHUBA

20 Desemba 2003
WASHINGTON: Manowari ya kivita ya Marekani imekamata tani mbili za bangi yenye thamani ya Euro milioni 8.Bangi hiyo imekutikana katika mashua ndogo katika Mlango wa Bahari ya Hormuz kwenye eneo la Ghuba.Inadhaniwa kuwa hiyo ni sehemu ya opresheni za magendo za magaidi.Halmashauri Kuu ya Majeshi inayoongozwa na Marekani,imesema wafanyakazi 4 kati ya 12 katika mashua iliyokamatwa walidhihirika kuhusika na mtandao wa kigaidi wa Osama Bin Laden - al Qaeda.Eneo la Iran na Ghuba ni njia kuu ya kusafirishia madawa ya kulevya kutoka Afghanistan-mzalishaji mkuu wa bangi na afyuni.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW