JamiiMadereva wanawake wa gari za mizigo Ghana02:14This browser does not support the video element.JamiiYusra Buwayhid01.05.20191 Mei 2019Uendeshaji wa magari ya mizigo umezoeleka kama kazi ya wanaume, lakini nchini Ghana hali hiyo inabadilika. Payin Marfo, amefungua kampuni ya kwanza ya usafiri ambayo madereva wake wote wa magari ya mizigo ni wanawakeNakili kiunganishiMatangazo