1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madhara ya ukame huko Kitengela, Kajiado nchini Kenya

04:28

This browser does not support the video element.

24 Februari 2023

Kumekuwa na uhaba wa mvua kwa misimu minne mfululizo na matokeo yake ni kufa kwa mifugo kwa kukosa maji na nyasi. Raia wa maeneo hayo wanaishi katika wakati mgumu. Kwa mujibu wa afisi ya Umoja wa mataifa ya uratibu wa misaada, msimu ujao wa mvua wa mwezi Machi hadi Mei huenda ukafeli kwa mara ya sita mfululizo. #Kurunzi