AfyaMadhara ya vyakula vya ngano 01:34This browser does not support the video element.Afya04.05.20204 Mei 2020Je unafahamu kwamba vyakula vya ngano vinaweza kukuletea madhara ikiwa hukula muda mrefu. Msikilize mtaalamu wa afya akilizungumzia hili hasa katika wakati huu muhimu wa mfungo wa Ramadhani.Video na Hawa Bihoga. #Afyanadksizya #Kurunzi 04.05.2020Nakili kiunganishiMatangazo