Wanawake kama nguzo ya jamii wamekuwa wakikabiliwa na changamoto kadhaa za ambazo zimechangiwa zaidi na vurugu nchini Burundi za tangu Aprili 26.2015. Zaidi msikilize Amida Issa katika kipindi "Wanawake na maendeleo"
Wanawake wa Burundi wakiwa katika kilimo cha pamojaPicha: picture-alliance/Ton Koene