1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MADRID: Wahispania waikubali katika mpya ya Umoja wa Ulaya.

19 Mei 2005

Uhispania imekuwa nchi ya saba katika Umoja wa Ulaya kuidhinisha katiba mpya ya Umoja huo.

Idadi kubwa ya wabunge wa nchi hiyo walipiga kura kuipitisha katiba hiyo ,miezi mitatu baada ya wananchi kuikubali katika kura ya maoni.

.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW